Advertisements

Thursday, April 21, 2016

PUMZIKA KWA AMANI KAKA ANDREW NICKY SANGA


Andrew Nicky Sanga aka Drew
Tumekupoteza rafiki kipenzi Andrew Nicky Sanga, Ingawa tulikupenda kama wanadamu lakini naamini Mungu baba wa mbinguni amekupenda zaidi. Nashukuru Mungu kuwa nilibahatika kufurahia matukio kadhaa ya maisha yako na kuyaweka kumbukumbu kwa kutumia kamera yangu. Rest in Peace Drew, you will truly be missed,


Kwa picha zaidi nenda chini kwenye soma zaidi.
Drew Sanga, Cassius and Ebra! in Houston. TX Thanksgiving weekend 2015.
Andrew Nicky Sanga aka Drew
Drew na marafiki zake
Drew na marafiki
Dsquad
Dsquad
With Wash Drew

5 comments:

Anonymous said...

Andrew we will make sure Zoe is being taking care of .Rest in peace Andrew

Anonymous said...

you will Truly be missed Drew. WE LOVE YOU! May your soul Rest in Peace

Mdau Canton USA. said...

Poleni sana wafiwa,wanafamilia wote,na pia watanzania wote huko Houston TX.Tukumbuke kuwa njia yetu sisi binaadamu ni moja.,mwenzetu mpendwa brother Andrew ametangulia mbele ya haki nasi tupo nyuma.Tumuombee mwenzetu, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema amsamehe zambi zake na ampuuzishe kwa amani peponi.
Amen.

vijimambo said...

Rip in enternal peace my brother

Anonymous said...

Miss you Drew!May your soul rest in peace. Much love