Advertisements

Saturday, November 28, 2015

THANKSGIVING PARTY HOUSTON DAY 2,ASYA IDAROUS KHAMSINI KUFANYA ONESHO LA VIVAZI

Wadau wa Houston na marafiki zao wakijumuika pamoja usiku wa Ijumaaa Novemba 27, 2015 downtown Houston, Texas pamoja na baadhi ya Watanzania wengine kutoka majimbo tofauti. Leo usiku mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini atafanya onesho la vivazi kama sehemu ya kusherehekea sherehe hizo na kabla ya hapo kuta kuwa na shughuli za michezo na burudani mbalimbali za watoto.
Wadau wa Houston na marafiki zao wakijumuika pamoja.
Nikuparika mpaka asubuhi.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.


No comments: