Advertisements

Friday, November 27, 2015

THANKSGIVING DINNER HOUSTON

Waandaaji wa Thanksgiving Dinner iliyofanyika siku ya Alhamisi Novemba 26, 2015 Houston jimbo la Texas katika kusherehekea sikukuu ya Thanksgiving siku ambayo Jumuiya ya Watanzania Houston hujumuika pamoja na marafiki zao ikiungwa mkono na Watanzania wenzao kutoka majimbo mengine.
Watanzania wa Houston wakishereheka na Thanksgiving Dinner.
Ukishikwa shikamana
Ukishikwa shikamana kama picha inavyojieleza.
Watanzania wakijumuika pamoja kusherehekea Thanksgiving, Houston.
Watoto wakijumuika na wazazi wao.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


2 comments:

Unknown said...

Mbona sioni bata mzinga (Turkey?), mtasema labda sio Tanzanian culture! Lakini Tanzania hatuna hiyo siku kama siku rasmi, basi kama siyo mmefuata ya wenzetu fanyeni kama wanavyofanyaga, au poozea kaa kimya tu hakuna shida!

Anonymous said...

Ibraaaaa!