Advertisements

Sunday, November 29, 2015

LOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA MAWAZO JIJINI MWANZA

Aliyekua mgombea Urais Tiketi ya UKAWA Mhe. Edward Lowassa akipita mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo.
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akipita mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo.
Mke wa Marehemu Alphonse Mawazo na mtoto wake Precious Mawazo wakimsikiliza Mchungaji aliyekuwa akiendesha misa ya kumuombea marehemu Alphonse Mawazo

No comments: