Advertisements

Monday, November 30, 2015

Kheri mimi sijasema!

Hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya Watanzania ambao wanapendekeza majina ya nani anafaa kuwa kwenye cabinet ya Rais Dr. Magufuli. Kabla ya Waziri Mkuu kutangazwa watu walikuwa wanapendekeza au kufiiri majina ya watu wanaofaa kushika nyadhifa hiyo  na mmoja kati ya hayo majina alikuwa ni Dr. Harrison Mwakyembe! Soma zaidi

1 comment:

Anonymous said...

mwakyembe ni mtuhumiwa mkuu wa ufisadi tanzania railways na air tanzania hafai uwaziri hata unaibu.ubunge wenyewe kakalia kuti kavu kesi ipo mahakamani mbeya,aliuvuruga uchaguzi,ni hasara.