Advertisements

Thursday, July 30, 2015

LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA NA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa leo amechukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Lowassa amechukua fomu hio Makao Makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya wanachama wa Chadema na viongozi wa juu wa Chama hicho.

 Mhe. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, kwa ajili ya kuchukua fomu.
 Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa pamoja na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) walipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu.
 Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika hafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa wakati akichukua fomu katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam
Mwenyekiti wa Chadema (Kushoto) Mhe. Mbowe akizungumza jambo na Mhe. Edward Lowassa wakati wa zoezi la kuchukua fomu lililofanyika makao makuu ya Chadema.
  Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA - Zanzibar, Salum Mwalim.
 WAZIRI Mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa, (kulia), akionyesha mkoba wenye fomu za kuomba kuwania urais kupitia CHADEMA, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Mh. Freeman Mbowe, kwenye makao makuu ya chama hicho, Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo Julai 30, 2015. Mh Lowassa, alijiunga hivi karibuni na chama hicho, baada ya kujitoa CCM.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza machache mara baada ya kuchukua Fomu ya Kuwania Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza jambo baada ya kumkabidhi fomu Edward Lowassa kugombea Urais.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza jambo na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mh. Tundu Lissu. 
Mmoja wa wana CCM ajitokeza kumuunga mkono Mh Edward Lowassa katika kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA, Huku wanachama wa CHADEMA wakimpongeza kwa kumbeba juu juu

15 comments:

Anonymous said...

SMH....That's all I can say.

Anonymous said...

Tunamsubiria mgombea mwenza. Mbelekwa mbele. Wana CCM karibieni msichezee mbali.

Unknown said...

I don't need to be Anonymous. I Love this gentleman. Ana kiburi cha pesa,na si mshamba wa kusukumwa.you got to be a fighter to get there. Najua mtasema saaaana.

Anonymous said...

Tusubiri Finally kama ana kiburi chapesa tutakiona October, , wera weraaaa CCM bado jembeeee Chadema mme ula wa chuya kuingia ikulu ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano.

Anonymous said...

Joel Byamungu - your candidate, Lowassa is fighting a losing battle. The only thing he needs is Ikulu and he will never set his leg in there. Read my lips.

Anonymous said...

yaani nilikuwa na kiheshimu saaaaana, ukawa na chadema. baaada ya hii na sema kwenda kule..!!! wote ni wale wale sina chama bado...

Anonymous said...

Joel tunakufahamu wewe si umelambishwa hizo hela za ufisadi za jamaa yako mwenye kiburi cha pesa za ufisadi. Wee subiri tu UKAWA wampitishe kuwa mgombea wa urais, atafunguliwa kesi ya Richmond na awafuate akina Mramba na Daniel Yona waliko.

Anonymous said...

A sad day for Chadema and it is sickening. How dare could you welcome this traitor from CCM to hijack our Party? Are all Chadema leaders insane? Please, spare us pain and defeat, bring Dr. Slaa back, and let him run. Dr. Slaa has done so much for Chadema, and why do we treat him like trash? What has this crook Lowasa done for Chadema? At minimal, Profesa Lipumba could bring back our prestige. Please, I beg Chadema to dump Lowasa and bring our Dr. Slaa, otherwise we will NOT VOTE FOR CHADEMA again, period.
Thank you, we are the 100 distraught Chadema members.

Anonymous said...

A sad day for Chadema and it is sickening. How dare could you welcome this traitor from CCM to hijack our Party? Are all Chadema leaders insane? Please, spare us pain and defeat, bring Dr. Slaa back, and let him run. Dr. Slaa has done so much for Chadema, and why do we treat him like trash? What has this crook Lowasa done for Chadema? At minimal, Profesa Lipumba could bring back our prestige. Please, I beg Chadema to dump Lowasa and bring our Dr. Slaa, otherwise we will NOT VOTE FOR CHADEMA again, period.
Thank you, we are the 100 distraught Chadema members.

Anonymous said...

The party was put on sale, the highest bidder took all..

Anonymous said...

Hii honeymoon won't last.Na divorce ya couple hawa(Lowasa/Chadema) itakuwa mbaya beyond imagination. Mark on your diary.

Anonymous said...

I can't wait ..... and please don't play with fire. CCM ni chama kikubwa na kimejijenga vyakutosha. Lakini tukumbuke kwamba kila kitu kina mwisho wake. Kwanza hakuna chama kinaitwa ukawa ndani ya Tanzania,lakini changamoto ya upinzani itaongezeka. Na hii ni kwasababu huyu Lowasa anaijua ccm vizuri..na kama ni ushindi wa kufunga kwa mkono basi,anajua ninani alitakiwa kupewa huo mpira na kulifunga hilo bao. (Siri) . Njia moja ya kuiondoa ccm ni kuwa na mtu kama Lowasa ndani ya upinzani. Hilo halipingiki... watu wapo tayari kukipigia chama chochote ilimradi waiondoe ccm.
Madarakani. Baada ya uchaguzi hutosikia tena ukawa. Kwa mtizamo wangu Dk slaa hawezi kuiondoa ccm madarakani... lakini kwakushirikiana na nguvu ya Lowasa wapinzani wanaweza kushinda.

Anonymous said...

CCM NA MTAKULA NYASI, HIVI HAWA WANAOTETEA CCM WANAMATATIZO GANI, AMA POSHO???

Anonymous said...

Kama Lowassa sio threat why even bother to fight with him. If CCM think he will loose then leave him alone. Kuzungumza mambo ya kesi ndio mnadhibitisha mlivyo wazee wa visasi. Gamba mlishindwa kumvua, fomu ya uraisi mkamwacha akachukua, ameongoza tume nyeti ndani ya CCM. Then leo amewakimbia mnahangaika naye wanini?

Anonymous said...

Maskini chadema na ukawa, mnanunuliwa kama kuku wa kienyeji. Dr slaa kashishtukia hapendi kudhalilishwa. Mbowe, tundu lisu, lema, peter msigwa na athumani selemani mmenunuliwa. Kama hamjanunuliwa kwa nini lowasa awe ndiye peke yake anayechukua fomu?!!!!! Nyie njaa zitawaua. Mafisadi wakubwa