Bongo bana, eti kigogo wa ccm kampeleka kugombea. Huyu msichana mpaka lini atakuwa anategemea maisha ya kuchuna. Afadhali dangote diamond alimwacha. Ona mambo zari anayofanya ya maana sio huyo celebrity fake wa kutegemea kuchunwa unajiabisha. Chezea ccm wewe sio vilaza. Hamia chadema watakupa viti maalum
4 comments:
Ningeshangaa. Hata hao waliompatia hizo kura wana walakini.
Ni bora arudi bongo muvi kuchezewa, hatutaki bunge la watu wasio na kitu kichwani kwani dunia itatucheka mno.
Muosha uoshwa, malipo ni hapa hapa dunia ahera nihesabu tu

Post a Comment