Advertisements

Saturday, April 25, 2015

MH.Mengi ajibu sababu za yeye kumuoa KYLINE


Dk. Reginald Mengi akiwa na Familia yake
Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao nimeshawahi kuwa nao. 
1. Jackline ananipikia chakula kuanzia chai, lunch mpaka dinner.
2. Jackline ananifulia nguo zangu kwa mikono yake sio mashine
3.Jackline anajua nafasi ya mwanaume na nafasi ya mwanamke kwenye nyumba.
4. Jackline ananipenda ndio mana ananifanyia vitu ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa hasa unyenyekevu wake kwangu.
5. Jackline tofauti na watu wengi wanavyomchukulia hakufuata pesa kwangu bali ana mapenzi ya dhati na mimi.

SOMO LA UJUMBE HUU.
Kama wewe ni mwanamke na umeolewaTafadhali TAFAKARI NA CHUKUA HATUA ZA HARAKA KUIMARISHA NDOA YAKO

5 comments:

Anonymous said...

HA! HA! UZEE MWISHO CHALINZE. WHAT LOVE GOT TO DO WITH IT???

Anonymous said...

Sawa sawa bwana mengi umesema ukweli kabisa.na Mungu awabariki ili ndoa yenu idumu.mengi tulikuona zamani hizo ulivyokuwa unamuheshimu bi mkubwa lakini hakuona yote hayo aliharibu mwenyewe..hongera sana nakutakia maisha mapya.

Anonymous said...

Non sense! muulize huyo jackline alivyokuwa na maboyfriend wake wa zamani alikuwa anawafanyia yote hayo kuwafulia nguo,kuwapikia chakula, kupiga deki.lazima kuna msingi hapo ndo maana anafanya yote hayo a.k.a Changa la macho ,huyu babu na hela zake zote hajashtuka? Eti mapenzi ya dhati!!??really?I bet kingwedu angemtokea jack sidhani Kama angefanya yote hayo.Moneeey! !!

Anonymous said...

Wasomeshe! wasomeshe hao 'Wazushi' Mzee Mengi..Hawaeshi kusema Eti Mzee Mengi kaoa katoto kadogo..Eboh! eti mtoto mdogo? Acheni dhereu jama!...Nyinyi mlitaka huyo mnaesema 'mtoto mdogo' aolewe na nani jama?

Au mlitaka mtoto wa watu adandiwe dandiwe na wahuni kama akina Diamond (dezaini kama na Wema sepetu hivi:-) ndio mjue kuwa kapata wa saizi yake?. Walimbwende wengine wanajitambua bwana.

Hivyo waacheni wenyewe jama wafurahie penzi lao na familia yao mpya. Huko kwetu 'Kaya' tunasema 'Maisha ni kusikilizana na Unyumba ni kubembelezana' Sasa nyinyi Walimwengu kwani mlikuwa mwatakaje?...Mnawazonga mno waacheni wapumue kwa raha zao jamani.

Anonymous said...

Two things. Money and Viagra. Thank God for both. Yes, love got nothing to do with it.