Advertisements

Sunday, March 1, 2015

LB YAIKARIBISHA VIJIMAMBO ATLANTA KWA MNUSO WA KIMTINDO


Linda Bezuidenhout Ceo wa LB akifanya matayarisho kwa ajili ya wageni wake aliowakaribisha kwenye mnuso mdogo aliofanya kuipongeza Timu ya Vijimambo kwa kazi ya kuhabarisha jamii inayofanya siku ya Jumamosi Februari 28, 2015 katikati ya jiji la Atlanta jimbo la Georgia.
Linda Bezuidenhout Ceo wa LB akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake kushoto ni Meck Khalfan Ceo na Co Founder wa PUKU Mtanzania aliyegundua mashine ya chaja ya kubeba inayo chaji simu ya kiganjani.
Linda Bezuidenhout Ceo wa LB akiwahudumia wageni wake.
Kushoto ni Alpha Igogo mwakilishi wa Vijimambo Michigan akiwa katika picha ya pamoja na Mali ambaye ni baba mwenye nyumba wa Linda Bezuidenhout Ceo wa LB
Wageni wakipata Ukodak Moment.
Evans akiwa na mama mwenye nyumba wake.
Linda Bezuidenhout Ceo wa LB akiwa katika picha ya pamoja na wadada wa Atlanta watatu toka kushoto ni Ashura ambaye nae alikua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Wageni wakipata picha ya pamoja
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: