Advertisements

Tuesday, February 24, 2015

PICHA ZAIDI ZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK KUTOKA TEMBAPHOTO


 Tembaphoto akiwa na mama mwenye nyumba wake siku ya sherehe za miaka 38 za kuzaliwa kwa CCM. Sherehe zilifanyanyika New York na kuudhuliwa na Watanzania kutoka kila pande za Marekani. Na Mhe.Ridhiwani Jakaya ambae ni mbunge wa jimbo la Chalinze kupitia chama tawala CCM kuudhulia na kutoa hotuba kama mgeni rasmi wa sherehe hiyo.
 Hapa ni Miss Maundi katibu wa vijana wa CCM New York akipata ukodak juu ya zuria jekundu

 Mambo ya ukodak juu ya zuria jekundu picha kutoka Tembaphoto kwa picha zaidi jitiririshe chini
Black is beauty
Kwa picha zaidi tembelea http://tembaphoto.com/

3 comments:

Anonymous said...

USHA MBA MPAKA UGENINI,HAYO MA VYAMA SI MRUDI HOME MKAGOMBEE UCHAGUZI UMEFIKA

Anonymous said...

Love thy Country and Party anywhere, everywhere. Long live Tanzania! Kidumu Chama cha Mapinduzi!

Anonymous said...

kuna change moto naona huko marekani ndo maana ma ccm wanakuja kila leo kuwaziba midomo ya wanaharakati wa ukombozi wa kweli wa Tanzania.

natamani na mimi ningegaiwa hiyo mipesa ya escrow iliyoletwa.