Advertisements

Friday, December 19, 2014

HAPA NA PALE YALIYOJIRI USIKU WA ZARI NA VIVAZI VYEUPE DIAMOND NDANI YA KAMPALA


Baadhi ya picha zilizochukuliwa usiku huu kwenye show ya #Zari_AllWhite_CirocParty hizi hapa…
Watu wakiwa wamejipanga tayari kuelekea ndani ya mjengo.
Habari ndiyo hii palikuwa hapatoshi kiroho safi
Warembo walikuwa full kupendeza picha kwa hisani ya Dj Choka.

Credit @chokadj


No comments: