Advertisements

Thursday, November 20, 2014

Wimbo mpya wa Diamond Platnumz - Nitampata Wapi (Official Video HD)

5 comments:

Anonymous said...

Endelea kupiga bao mwanangu!...kitu hiki kimetulia sana..

Anonymous said...

Daah! Huyu diamond, ni habari nyingine. Kama wabongo tusingekuwa na chuki, fitina na majungu basi huyu diamond tungempa heshima anayostahili kwani yeye ni sehemu ya tz kimataifa. Jamaa anaweza. Bigup broo.

Anonymous said...

We ni noumaaa Naseeb

Anonymous said...

Wamwache alale big up dude

Anonymous said...

naseeb unawapaataga wapi warembo hawa sasa wa kizungu in the house ha ha ha. na wema sepetu umeupata ujumbe mummy.sikiliza nyuzi.