Advertisements

Sunday, October 26, 2014

SIMON NA ANGIE WAMEREMETA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI

Simon na Angie wakiwa kwenye ndoa yao iliyofungwa Jumamosi Oct 25, 2014 mjini Winston Salem jimbo la North Carolina nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.
Simon akimchum kwa mara ya kwanza Angie kama mke wake.
 Wapambe wa bwana harusi.
 Wapambe wa bibi harusi
 Madhari nzuri inavyoonekana wakati ndoa ikiendelea.
 Wageni waalikwa wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.
kushoto ni wazazi wa Angie Mr & Mrs Chesebro wakiwa pamoja na kaka zake Angie
Pastor Er Grover akiwafungisha ndoa Simon na Angie Picha zaidi baadae.

7 comments:

Anonymous said...

congratulations mesh, lakini yaelekea wageni/jamaa/marafiki wa kizungu wana nyuso za kusononeka as though wamepata SHOCK ! Nahisi kuna SILENT PROTEST/DISAPPROVAL. Tazama hats mavazi ambayo wazungu wengi wameyavaa, it is a mockery to such a big day! Dj this is only a personal observation and I shouldn't be taken out of context; Jee? wadau wenzangu mnalionaje hili?

Anonymous said...

Hongera sana Simon na Angie, Mungu awabariki na kuwapa furaha katika maisha yenu.
Note: unaona wazungu walivyo simple kwenye harusi??? Kwao ni account ina hela ngapi. Gari show offs sio sana.

Anonymous said...

Wazungu ndio walivyo. Hawana time ya kwenda Macy's, lord and taylor, Neiman Marcus na ku spend pesa they don't have.sisi ndio always we want to show off. Na hapo nguo alio vaa mwezako ni better quality and most definitely more expensive than the rags you have on including the jeans he has on.he probably had more money in his account for the future of his children and grandchildren. Think about that

Anonymous said...

Watanzania tuache ushamba! Mambo ya kutakakujadili na kukaribisha mjadala eti tunaonaje. Inahusika nini hapa? Maharusi hongera!!!

Anonymous said...

Maharusi hongereni sana. Mzarau huyo baba mwenye kuona uvaaaji kuwa ishara ya silent protest! Hii ni siku yenu. Wabongo hawakosi shari. God bless and mtunze binti na mheshimiane uonyeshe sisi kutoka barani ni waungwana sana na sio Ebola tu!!

Zainab Black said...

Wazazi na familia ya binti Angie wanampenda sana Simon. It is unfortunate kwamba watu can take something so good and pure and stain it or see nothing but negativity. This was one of the best weddings I have been to. Lovely couple!. congratulations!

Anonymous said...

Dada Zainab Black, nashukuru ulikuwepo kwenye hiyo harusi. Kuna binti amevaa gauni jekundu (sijui rangi vizuri) nilikuwa nahitaji kujua kama ana umri wa kutosha na kama hajaolewa. Nimetembelea sana hizi picha za harusi kwa ajili yake tu.