Aunty Ezekiel msanii kwenye tasnia ya filamu nchini Tanzania akiwa amevalia gauni lake la rangi ya pink Novemba 2012 siku ya Send Off Party yake jijini Dar es Salaam.
Aunty Ezekiel akiwa kwenye kivazi chake cha uchokozi rangi ya pink tarhe 27 Oktoba 2014 kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa inaonyesha ni jinsi gani anavyopenda kivazi cha rangi hiyo
1 comment:
Duh!Pink Colour for men? Doubt.
Moise
UK
Post a Comment