Advertisements

Sunday, September 21, 2014

ZAWADI NA UKODAK MOMENT NA JK, USIKU WA JAKAYA WASHINGTON DC

Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwa na mwenyekiti wa CCM DMV Ndg. George Sebo wakipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa jumuiya mbalimbali yakiwemo matawi ya CCM nchini Marekani
Zawadi toka kwa Mayor
Zawadi toka Jumuiy ya Watanzania California.
Jumuiya ya Watanzania California katika picha ya pamoja na Mhe. Rais Dkt Jakaya Kiwete na Mkewe Salma Kikwete.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Zawadi toka CCM Ohio
CCM Ohio katika picha ya pamoja na Mhe.Rais Dkt Jakaya Kiwete na Mkewe Salma Kikwete.
Zawadi toka CCM North Carolina
CCM North Carolina katika picha ya pamoja na Mhe.Rais Dkt Jakaya Kiwete na Mkewe Salma Kikwete.
CCM Mssachusetts na New York wakikabidhi zawadi zao
CCM Minnesota wakitoa zawadi na kupata picha ya pamoja na Mhe. Rais akiwemo mama Salma Kikwete na mwenyekiti wa CCM DMV
CCM California
CCM Chicago
CCM DMV

1 comment:

Anonymous said...

California mnataka sifa nyie na zawadi zenu. Hongerani kwa zawadi kubwa.