Advertisements

Sunday, September 28, 2014

MISA YA SHUKURANI YA EDGAR MUTTA SILVER SPRING, MARYLAND

Padri Evod Shao (kulia) akiongoza  misa ya shukurani ya Edgar Mutta  (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupoma maradhi yaliyokua yakimsumbua kushoto ni Padri Leandry Kimario 
Edgar Mutta (kati) katika picha ya pamoja na wazazi wake wakti misa ya shukurani ikiendelea.
Kulia ni Adrian Mutta na mama yake wakiendelea na misa ya shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi Sept 27, 2014.
Judith na Liberata (kulia) wakifuatilia misa.
McDonald akisoma somo.
Padri Leandry Kimario akiombea familia ya Colonel Adolph Mutta ambaye ni mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada
Mtoto Brian akiongoza kwaya kwa kupiga kinanda.
Watanzania na marafiki zao waliohudhuria misa ya shukurani ya Edgar Mutta.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akiongea jambo na Balozi Karume na mkewe kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly.
Colonel Mutta akitoa neno la shukurani
kwa picha zaid zikiwemo za BBQ bofya soma zaidi

2 comments:

Anonymous said...

Hii ndiyo DMV tunayoijua watanzania wote wa imani na itikadi tofauti kushirikiana kwenye furaha na shida! Ilikuwa misa nzuri na FULL OF LOVE! Asante baba Mutta tutaendelea kumweka kijana wetu kwenye maombi such a humble, loving soul. EDGAR YOU ARE HEALED.

Anonymous said...

oooh WONDERFUL!

Sina mazoea na kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii, lakini kwa hili, basi nitaanza. Nilimwona Edgar siku moja kabla hajapanda ndege kuelekea USA pale kwa shangazi yake. Tuliokuwepo tunakumbuka jinsi mambo yalivyo kuwa. Leo hii ninapoona picha hizi ninafurahi sana ajabu. Mimi ni daktari, tena ni Mkiristu, ila tu nasema "God is ABLE"!!

Kaka Mutta na Edgar & family, tupo wote katika kufurahia na kusmshukru Mungu, na kwendelea kumwomba.