Advertisements

Saturday, August 16, 2014

MAZIKO YA MAREHEMU MOHAMMED ALI LEO JUMAPILI

Mohammed Ali enzi ya uhai wake

Tujumuike pamoja kwenye mazishi ya mpendwa wetu Mohammed Ali aliyefariki siku ya Ijumaa mchana Cleveland, Ohio. Maziko yatafanyika leo Jumapili Aug 17, 2014 Islamic Centre ya Cleveland address website ni www.icccleveland.org address ni 
6055 W 10TH St, 
Parma, OH 44130

Kwa sasa msiba upo 
6240 Stumph Road, Apt 106, 
Parma Heights Ohio

Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na 216 362 0786.

1 comment:

Anonymous said...

inna lillahi waina illahim rajiun.poleni sana watanzania wote wa ohio na pamoja na ndugu na jamaa na marafiki wote.

ndo mwisho wetu huu kila mmoja itafika siku yake atakwenda.tuwe karibu na Allah.