Advertisements

Sunday, July 27, 2014

MAMBO YA LULU HAYO BEAUTIFUL ONYINYE WA BONGO MOVIE KAZI KWA WALE WENYE UCHU NI SHEEDA

Jitirirshe mweye na utakubari kuwa Lulu ni mrembo aliesimama na style yake ya  mpya ya nywele. 
Picha kutoka TheChoice.

3 comments:

Anonymous said...

Hizi nywele au madude ya kubandika tu? Acheni kupotosha wajuwao

Anonymous said...

Nywele zimesukwa. Lakini alie msuka hajazibana vizuri.

Anonymous said...

Ni kweli hizo sio nywele, uzuri haununuliwi