Advertisements

Wednesday, April 9, 2014

WEMA KUMSINDIKIZA DIAMOND MAREKANI TAYARI MICHAKATO YA KUTAFUTA VIZA IMEANZA KWA WEMA UNAJUA KWA NINI?

Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua Mrs Diamond Wema Sepetu amedaiwa kujiandaa na safari ya kuelekea Maarekani akimsindikiza mumewe Diamond.
Nyeti hizo moto moto toka kwa mtu wa karibu na Wema zikisema" Wivu mbaya sana Wema anaondoka na Diamond Marekani hiyo inatokana na kumlinda Diamond anaesubiriwa kwa hamu na maelfu ya watanzania waishio nchini huko" Alisema mtu huyo
wa karibu wa Wema, Wema alitafutwa kupitia simu yake ya mkononi kwa ajili ya kupata ukweli wa mambo lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana na kutanabaisha juu ya nyeti hizo.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

6 comments:

Anonymous said...

kishaolewa mummy huyu wema? bado hamuamini kicheche wake?
kazi ipo kweli na pole sana mummy huku kuna mapapa usisikiye bora uje umlinde japo kuwa huwezi kuilinda bahari kuna vyombo vingi vinapita na kuitumia hiyo bahari
nakushauri tu upoe moto kama wako na anakupenda na kukuthamini basi hatokusaliti lakini kama wa wenzako kazi unayo mrs diamond na kumbe umeshaolewa
hongera sana na pole kwa wivu

Anonymous said...

Asante, Hatuoni mandhari yanayoelewesha hakika kuwa ni MUME, jaribu kuandika kitu unachoelewa wasomaji watakielewa na wakubaliane nacho! Hakuna mume wala mke hapo ndicho tunachoelea. Kwaheri.

Anonymous said...

Hawezi pata Visa huyo, aliova stayed alipokuja and plus alijaribu kutafuta makaratasi ikashindikana.....but miracles are still happening so let wait and see ;);)

Anonymous said...

Hawa wenye mablog wanapotesha habari njingi wanajiandikia bila kujuwa ukweli vurugu tu,amekuwa mke huyo sasa?kasomeni shule kwanza sio kuvamia fani za watu.

Anonymous said...

Nani Diamond Au Wema? Kuwa wazi

Anonymous said...

apate asipate hiyo visa bili zangu bado nalipa mwenyewe.

karibu wema omba mungu visa utapata achana na mahaters